Saturday, April 25, 2009

Samaki Adimu Wapatikana

Samaki huyu (namfahamu kwa jina la mbojo) aliadimika mno katika ziwa Victoria baada ya uujio wa Sangara, lakini hivi sasa ameanza kupatikana kwa wingi kwa sababu ambazo bado nazitafuta. Picha ya chini mchuuzi wa samaki hao akielezea utamu wake unaozidi samaki wengine wanaopatikana kwenye ziwa hilo


1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kuwaleta sangara Ziwa Nyanza lilikuwa kosa kwani karibu kamaliza samaki wengine wote. Samaki huyu tulikuwa tunakula shuleni siku za Alhamisi kila wiki. Kutokana na upishi wa shuleni ulivyokuwa hata ulikuwa huwezi kujua unakula nini kwani samaki wanapondekapondeka mpaka unashangaa...akipikwa vizuri mboju ni samaki mtamu sana.

Post a Comment