Wednesday, April 29, 2009

Kesi ya Kufuru

Yusuf Manji (pichani), yule aliyetajwa na Reginald Mengi kama fisadi papa amefungua kesi ya kashfa, akimtaka Mengi amlipe Sh 1 (moja) kama fidia.
Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kupitia kwa kampuni ya uwakili ya Muganda, Kamugisha na Bwana, lengo likiwa kutaka kusafishwa. Wengi wameipa tafsiri tofauti kesi hiyo; je, Sh 1 ndiyo thamani ya Manji; je, Mengi hana uwezo wa kumfidia Manji; au, Manji hana shida na pesa, bali kusafishwa.

2 comments:

Anonymous said...

Manji anataka kulipwa kitu gani kwanza yeye ni Tanzania halisi aende kwao huko India, hawa wahuni sana ndo wanaotuharibia nchi kila leo kuna kulipwa kitu.

Unknown said...

wewe una umwa...hakuna kwao...kwao ni tanzania...serakali imenyaganya mashule manyumba ya hawa wahind...tumeharibu kila kitu na bado tuna wa lahumu hawa wahundi badala ku walauhumu viongozi wa nchi ... siasa ya wakichiana imelete azimia la arusha na ujamaa...

Post a Comment