Sunday, March 08, 2009

WAZO BONZO


Kauli ya Kufikirisha

UONGO unatajwa na vitabu vya dini zote kuwa ni DHAMBI KWA MUNGU. Katika sheria pia uongo chini ya kiapo ni KOSA LA JINAI. Hivyo, kama kweli watenda dhambi wote huteketezwa kwa moto baada ya maisha ya duniani, basi hakuna shaka tena kwamba WANASHERIA WOTE wanausubiri huo moto.

Jumapili njema
RSM

2 comments:

Anonymous said...

Acha hizo kwani kuna waongo kama waandishi wa habari, wanachofanya wanansheria ni kutoa haki ya kila mtu ya kupata utetezi. habari ndo hiyo!

Anonymous said...

Bora umesema wewe mkuu, hawa wanasheria ni MOTO tu! Yaani utaalamu wa kazi yao ni kujuwa kuongea uongo vizuri na kukariri vifungu ya sheria zilizotungwa na binaadamu wenye dhambi tele kule bungeni..!

Post a Comment