Tuesday, March 10, 2009

Mwinyi Achapwa Kibao

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi leo pale Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam amelambwa kofi na muumini kwa kile kinachoelezwa kama kutetea matumizi ya KONDOMU kwa waumini. Alikuwa akizungumza katika baraza la Maulid lililofanyika jioni hii. Aliyemlamba kibao ameshughulikiwa ipasavyo na wanausalama.

4 comments:

Anonymous said...

Kachapwa kibao si kwakua katetea kondom tu kama alhaji, pia ufisadi unaofanywa na serikali na watoto wake wakiwemo...nani hajui kama mtoto wake aliacha ubunge Bara na kwenda zanzibar, akaandaliwa jimbo jipya awe mbunge/muwakilishi huko ili awe na sifa ya kuwa mgombea wa urais 2010?Nani ambaye hajui kama mtoto mwingine wa Mwinyi ni mbunge wa East Africa kwa hila na mbinu tu?Hilo ni fundisho, naamini

Mbona Bush alipopigwa watu mlishangilia?Leo hii kibao kimegeuka, hamshangilii.

Anonymous said...

HAMNA MAAANA NINYI,MZEE HUYU KUPIGWA NI MAKOSA KABISA.ririromchap ni razima turishughuriekie kisawasawa.

Anonymous said...

...Kwa mujibu wa uislam uzinzi umekatazwa (ni haram) iwe umevaa kondom au hujavaa! Mzee Mwinyi anatumia jukwaa la dini ya kislaam kufundisha watu wazini kwa kutumia kondom, hii ni haramu na amekosea, achilia mbali wanaozini wafe kwa ukimwi, uislam haufuati upepo kwamba sababu mnataka kuzini na mnakufa kwa ukimwi basi uislam uruhusu kuzini kwa kondom. Baya zaidi unaambrisha uovu huo siku ya kuzaliwa yule aliekuja kuukataza uovu huo (Mtume S.A.W). Kwa hiyo Mzee mwinyi alifanya uovu, na kwa mujibu wa Mtume, anasema "ukiona uovu uwondoe kwa mikono yako, au ukemee kwa mdomo au chukia moyoni mwako, ingawa huko kuchukia tu ni imani dhaifu..." Kwa hiyo huyu kijana alomchapa Mzee Mwinyi kibao, machoni mwa wanaadamu ataonekana mtovu wa adabu, muhuni na kila aina ya sifa mbaya, Ila mbele za Allah na waumini wenye kujuwa dini yao, yeye ni shujaa, ni mtu bora na kweli anatafuta radhi za Allah na sio sifa na utukufu wa dunia, kama wengine wanaoacha uislam wao kwa maslahi ya kidunia...!

Anonymous said...

HAPA NDIO INADHIHIRI KUA MWINYI NI MBUMBUMBU KIDINI KWELI KABISA NI KOSA KALIFANYA HANAHAKI YA KUHALALISHA KITU AMBACHO NI HARAM HATA KUKIKARIBIA LICHA YA KUKIFIKIRIA KITENDO HICHO. . VIPI AHIMIZE MAMBO YA KIYAHUDI BRAVO KIJANA.SIKU YA MAULIDI YA RASUL (SAW) NI KUELEZA SIFA,HISTRY,MIUJIZA YA MTUME SI KONDOM.

Post a Comment