Friday, May 04, 2012

Mdee akataa "Keki ya CCM"

Mbunge wa Kawe Halima Mdee (kulia) akikataa kupokea keki yenye rangi za Chama cha Mapinduzi kutoka kwa Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji wakati wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake (Shy-Rose). Picha ya Mzee wa Kidevu

No comments:

Post a Comment