Friday, April 24, 2009

Naangaza Upya kutoka Kijijini

Nawasalimu sana wanablogu walionivumilia kwa wiki kadhaa wakati sipatikani hewani. Mawasiliano haya yalikuwa 'mashokolomageni' huko nilikokuwa. Picha hii inajieleza yenyewe. Karibu tuendelee.

1 comment:

Anonymous said...

Akabisha au koroboi kwa kiswahili, sijui kiingereza chake.

Post a Comment