Thursday, November 15, 2007

Vituko vya zekomedi

Ze Comedy
Kazi yao ni kuvunja mbavu. Kwenye Tv wanavunja mbavu, mitaani wanavunja mbavu. Wengi wanasema 'wanaharibu' watoto kwa kuwaiga. Kutoka kushoto, Mpoki, Wakuvanga, Joti, Mkandamizaji na Mc Reagn Kipara. Wa kwanza kulia mnaweza kunisaidia kumtambua.

No comments:

Post a Comment