Tuesday, November 27, 2007

Sisco Bado Yuko Ikulu?


Naomba kuuliza hivi huyu Sisco pamoja na kuteuliwa kuwa Balozi Malaysia, bado hajaenda anaendelea kuwa Mkuu wa Itifaki Ikulu, au JK kabadili mawazo? Hapa yuko na JK Uganda.

No comments:

Post a Comment