Friday, November 23, 2007

Breaking Newssssssss!

INAUMA SANA


Askari wanane waliokuwa wanatuhumiwa kuwapiga na kuwajeruhi waandishi wa habari, Mpoki Bukuku wa Mwananchi na Christopher Kidanda wa Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) (sasa wa Sunday Citizen) wameachiwa huru kwa maelezo kuwa isingekuwa rahisi kwa waliofanya vurugu hizo kutambulika...Taarifa kamili baadaye

No comments:

Post a Comment