Michele Obama ni mama wa kujichanganya. hutokea hivi na vile katika hafla mbalimbali (cheki hayo mafoto yaliyopigwa nje ya amatukio ya kawaida yanavyojieleza), kama itokeavyo kwa mumewe, Barack Obama anavyoonekana zaidi katika mafoto yanayopatikana kwa mzee wa sumo
ngoja nicheki wallet zimebaki ngapi?

Pangeni foleni kusalimia

Posi ya masanamu


Akiwa na mashosti wake

Funga mkanda huyo jamaa ataku-Mwakyembe

hata mimi naweza kuimba

mara nyingi najisomea

watoto wazuri....

Mapfotogenic

maliza na mimi tuongee kidogo

Kwa raha zangu
No comments:
Post a Comment