Sunday, August 16, 2015

Vuguvugu la Uchaguzi 2015

Gumzo la uchaguzi sasa ni Edward Lowassa

Thursday, December 04, 2014

Ukweli ni Upi?

Ukweli una tabia ya kuchelewa. Ipo siku kila kitu kitakuwa wazi.

Nauliza tu, hii kitu ya kujivua gamba imeishia wapi?

Tuesday, April 01, 2014

Maafa Kamachumu

Ni maafa makubwa
 
Dar es Salaam. Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imesababisha familia zaidi ya 125 kupoteza makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na mashamba kuharibiwa katika Kijiji cha Bulembo kilichopo kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera.

Wakazi wa kijiji hicho wakizungumza kwa nyakati tofauti na Mwananchi kwa njia ya simu akiwemo mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alisema maafa ni makubwa na msaada zaidi unahitajika kwani familia nyingi zipo nje ya nyumba zao na mvua zinaendelea kunyesha.

“Hali sio nzuri na timu ya watalaam ipo eneo la tukio ili kufanya tathmini zaidi kuhusiana na kadhia hiyo” alisema Mwijage na kuongeza kuwa kijiji cha Bulembo ndicho ambacho kimeathirika zaidi na vijiji vingine ambavyo vimekumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Buyago na Mafumbo.

Mwijage alisema athari kubwa kwa vijiji hivi vingine na vile vya jirani ni kuharibiwa mashamba yao lakini nyumba hazikuathiriwa sana na pia shule ya msingi Lugongo madarasa matano yameezuliwa paa na misaada mbalimbali imeanza kwenda kwa wahanga wa maafa hayo ikiwa ni pamoja na mahema, vyakula na dawa.

“Pia vijana wa msalaba mwekundu wanajaribu kurejesha paa upya katika nyumba ambazo zimeezuliwa” alisema na kuongeza kuwa baadae atakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kujua kiwango cha hasara ambayo imepatikana na misaada zaidi inayohitajika.

Mkazi wa kijiji cha Bulembo, Richard Kichabeba alisema hivi sasa familia hizo ambazo zimeezuliwa paa nyumba zao zinaishi nje na mbaya zaidi nyumba zaidi zinazidi kuporomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. 

“Nyuma ikiezuliwa paa mvua zinakuja zinaimalizia kwani zikinyeshewa madongo na matofali yanaporomoka” alisema na kuongeza kuwa masomo yamesitishwa katika shule ya msingi Lugongo na misaada ya wahisani wa msalaba mwekundu haikidhi mahitaji.

Alisema manakijiji huyo kuwa aamilia moja inapewa blanketi moja wakati wapo watu hadi 20 na hata mgawo wa chakula haujakaa sawa na kimsingi alisema maisha yamevurugika katika kijiji hicho na kila zao shambani limeangamizwa.

“Hakuna muhogo wala mgomba, barafu na upepo vimevuruga kila kitu,” alisema mkazi huyo na kuongeza kuwa mbaya zaidi hata hizo paa zao hazionekani zimehamishwa na upepo.

Picha zinafuata





























Friday, March 29, 2013

Nembo ya Papa Francis


Mapapa wawili wanapokutana

 Mapapa Francis na Benedict XVI wakizungumza


Mapapa wawili, Francis na Benedict XVI wakisali

Friday, March 22, 2013

Kikwete alipokutana na Benedict XVI

Pope Benedict XVI meets Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania, at his private library in 2007.

Thursday, March 21, 2013

Uhuru, Ruto wajibu madai ya Odinga

President-elect Uhuru Kenyatta and his designated deputy William Ruto formally launched a legal battle to retain their declared victory by overcoming Mr Raila Odinga’s petition, which stands between them and formal assumption of power.
Both Jubilee leaders filed their affidavits, challenging issues Raila raised in pursuit of annulment of their victory in the Supreme Court. ENDELEA NAYO

Wednesday, March 20, 2013

Quotable Quote: Pope's Silent Blessing

“Given that many of you do not belong to the Catholic Church, and others are not believers, I give this blessing from my heart, in silence, to each one of you, respecting the conscience of each one of you, but knowing that each one of you is a child of God,” he said. “May God bless you.”  Pope Francis addressing Journalists. The New York Times March 16, 2013

Kesi ya Odinga kupinga matokeo yaanza

Majaji wa Mahakama ya Juu ya kenya wakiwa tayari kuanza kusikiliza kesi ya kupinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ilipotajwa leo asubuhi. Kutoka kushoto ni Njoki Ndungu, Jackton Ojwang, Philip Tunoi, Willy Mutunga (jaji mkuu), Mohamed Ibrahim and Smokin Wanjala. Soma yaliyojiri Daily Nation na hapa The Standard. 
Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) imeomba kesi hiyo itupwe ikidai matokeo yaliyotangazwa yalikuwa shihihi.

Tuesday, March 19, 2013

Madai ya Raila Odinga Kortini

SUMMARY OF RAILA PETITION

He is asking the court to do:
1. Set aside the results of the Presidential election as announced by IEBC on 9 March 2013, and the declaration of Uhuru Kenyatta as President-elect and William Ruto as Deputy President - elect respectively, and declare asnull and void the whole electoral pro cess leading to that
declaration. ENDELEA NAYO

Papa Francis aanza kazi rasmi

Pope Francis officially began his ministry today in an installation Mass simplified to suit his style, but still grand enough to draw hundreds of thousands of people to St. Peter's Square to witness the start of his papacy.
Francis thrilled the crowd at the start of the Mass by touring the sun-drenched piazza and getting out of his jeep to bless a disabled man and kiss children.
It was a gesture from a man whose short papacy is becoming defined by such spontaneous forays into the crowd and concern for the disadvantaged.
The blue and white flags from Francis' native Argentina fluttered above the crowd and civil protection crews closed the main streets leading to the square to traffic and set up barricades for nearly a mile (two kilometres) along the route to try to control the masses and allow official delegations through.
Akivalishwa pete
Makardinali kwenye ibada
Akimbusu mtoto
Kicheko
Akimbeba mtoto
Mugabe akipigwa picha na Bodyguard wake

Friday, March 15, 2013

Mabadiliko ya Teknolojia

Miaka minane iliyopita Papa Benedict XVI alipokewa kwa mishumaa na wafuasi wake kama inavyoonekana picha ya juu, lakini juzi usiku Papa Francis alipoikewa kwa kamera, simu, iPad, tablets na vitu vingine vya aina hiyo. Ni mabadiliko makubwa.


Thursday, March 14, 2013

Historia ya Mapapa

 Francis, Papa wa kwanza kutoka nje ya Ulaya kwa miaka 1,300

Histopria ya mapapa


Ni myenyekevu wa kiwango hiki

In 2006, Cardinal Bergoglio chose a children's hospital in Palermo (Buenos Aires) to celebrate The Holy Thursday Mass of the Lord's Supper. There, he washed the feet of 12 sick children.
His episcopal motto is "miserando atque eligendo" (lowly, yet chosen).
God Bless Pope Francis.