Wednesday, February 20, 2013

Shein amuaga Padri aliyeuawa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Padri Evarest Mushi katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar. Padri Mushi aliuawa risasi na watu wasiojuilikanwa Jumapili iliyopita kuzikwa leo Kijini Kitope, Wilaya ya Kaskazini B, Unguja. (Katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, Augustino Shayo.

Wanenavyo kuhusu Matokeo From IV

Div 1 - 1,641
Div 2 - 6,453
Div 3 - 15,426
Div 4 - 103,327
Div 0 - 240,903



Mimi binafsi siyakubali. Jibu liko kwa walimu. Serikali igeuke nyuma iwatazame walimu, si kwa kutumia polisi, usalama na kuwakata mishahara, bali kwa matendo mema – mishahara mizuri, marupurupu sahihi na kwa wakati, motisha, kuwapandisha vyeo kwa wakati, kuwalipa gharama za uhamisho. Upande wa pili na kuongeza walimu, madarasa, madawati, vitabu na vifaa nyingine muhimu. Baada ya hapo, ni haki na wajibu, kazi na dawa, asiyefanya kazi na asile, asiyefaulisha abanwe.
Wadau wa elimu wanena:

Imagine the future of a country that fails 84% of her young population.

Form 4 results out, 60% (240,903) fail! It's NATIONAL DISASTER ! It's emergency! Urgent serious steps must be taken NOW.

Disastrous Form 4 Results. Div 1 - 1,641; Div 2 - 6,453; Div 3 - 15,426; Div 4 - 103,327; Div 0 - 240,903. Div 1-3: Boys 16,342, Girls 7,178

Mwaka jana tumelalamika, tukasahau. SASA tufanye kitu. Waziri wa Elimu atoke. Wizara iwe chini ya Rais. Yakiwa haya mwakani, na yeye atoke
Kucheza na Elimu tutaula wa chuya kwa uvivun wa kuchagua. Miradi yote tufanyayo, bila Elimu bora ni UPUUZI tu. Elimu BORA na BURE
Hawa watoto waliopata zero na four haraka sana wapate mafunzo ya ufundi. VETA kila Wilaya ni ya lazima SASA
Halafu Wizara ya Elimu iwe chini ya Ofisi ya Rais. Mwakani wakifeli kama hivi na yeye atoke.............. tufanye petition
Naenda kulala sasa. Haya matokeo ya kidato cha nne haya bila hatua ya uwajibikaji kufanyika....... Kawambwa has to go! Hakuna namna kabisa

Still no breaking news "Waziri wa Elimu ajiuzuru" kweli TZ noma kweli kweli hamna uajibishwaji wala kujiajibisha.









Friday, February 15, 2013

Maandamano ya amani ya wafuasi wa Ponda

Source: Mkwinda Blog

SHUGHULI katika Jiji la Dar es Salaam jana zilisimama kwa muda baada ya wafuasi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda, kuandamana huku wakipambana na askari polisi waliotanda katika maeneo mengi ya mji, linaripoti Mwananchi

Papa mpya kupatikana kabla ya Pasaka

Mchakato wa kumpata kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki baada ya Benedict XVI (pichani, Kushoto) kujiuzulu, utaanza mara tu baada ya tarehe rasmi ya kuachia ngazi, Februari 28, 2013. Na habari zinasema na habari zinasema Papa mpya wa kurefusha ORODHA HII anaweza kupatikana kabla ya Pasaka, Machi 31, 2013.

Tuesday, February 12, 2013

Juliana Shonza atu CCM

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) Juliana Shonza ambaye alitumuliwa kwenye chama akidaiwa msaliti aliyetumwa na CCM kukivuruga chama na kuwatukana viongozi, leo ameibukia CCM na kukabidhiwa kadi ya uanachama na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete. Taarifa zaidi

Sunday, February 10, 2013

Makamanda katika Maandamano

Maandamano yamefanyika kwa amani, na mkutano wao unaendelea wilayani Temeke. Unaweza kufuatilia Jamiiforums

Monday, February 04, 2013

CCM & Chadema: Mchezo ulivyokuwa

SHEREHE za miaka 36 za kuzaliwa kwa CCM jana ziliingia dosari, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya wafuasi wa chama hicho na Chadema mkoani Dodoma wakati wakigombea eneo na mti wa kutundika bendera za vyama vyao.  HABARI KAMILI

Makada wa vyama hivyo wakibishania kuweka Bendera

Wakinyang'anyana mlingoti

Mbunge Ismail Rage aking'ang'ania mlingoti

Kipigo cha mwisho kwa mfuasi wa Chadema

Polisi wakmimkwida mfuasi wa Chadema

Friday, February 01, 2013

MwanaHalisi refuses to die


To All Lovers Of Press Freedom

MwanaHALISI, our beloved weekly banned by government six months ago (30th June 2012), has refused to die. It has remained in the hearts and therefore on the lips, of its readers – friends and foe.

In the past two weeks, discussions on radio and TV at a good number of stations in Dar es Salaam, have extolled the paper and further pleaded with government for its immediate and unconditional unban in order to fill what many of them called the void in well dug pieces of news and information.

But, in the midst of such demands and exaltations, President Jakaya Kikwete, speaking from Addis Ababa, the Ethiopian capital where he was attending the APRM forum, sent word that could either sink the weekly further or bring it back on the streets.

The president was quoted by his government’s daily – HABARILEO – saying his government banned one newspaper because it published material that was geared to inciting the army to rebel.

Providing answers and explanations to allegations of suppression of freedom of the press, raised during the APRM session, President Kikwete was quoted as saying, “Yes, there is a newspaper we have banned for inciting the army… There are those calling for its unban but we are not going to do so…this is not journalism.”

On the one part, the president’s stand brought some relief to journalists and management at Hali Halisi Publishers Limited – publishers of MwanaHALISI because the paper is not on record for publishing any material geared to inciting the army; nor had there been any allegations leveled by government against us to that effect.

On the other part, there is on record, one newspaper which stands accused of publishing material the government deems verged on inciting the army. The writer of the disputed article, his editor and printer, have been arraigned in court. None of these has any link with MwanaHALISI.

But MwanaHALISI is the only paper in the country banned by government; therefore the president could have been referring to it even if it had not been accused of inciting the army; and when those accused of incitement have already been arraigned in court. Could it be a riddle?

The government newspaper published the president’s remarks on Monday, 28thJanuary instant. Today is the fourth day and no signs of government rescinding the statement nor any official elaborating on the matter.

However, at MwanaHALISI we have made efforts to reach authority – including the president’s office – to seek government action: To unban the weekly. This is because, accusations and allegations regarding publication of material geared to incite the army, which the president said necessitated the ban of “a newspaper,” do not concern us at all.

We count on every honest soul in this matter.

sgnd
Saed Kubenea
Managing Director