Monday, October 30, 2006

Mbowe Aamua Kuingia Darasani

Kumekucha. Yule Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005, Freeman Mbowe, aliyeitesa sana serikali na kuambulia kura zaidi ya 600,000, ameamua sasa kuingia rasmi darasani, kusoma shahada ya kwanza na ya pili kwa mkupuo. Anasema elimu hiyo ndiyo itakayomkomboa na kumpa mwanga wa kutambua masuala mbalimbali ya kimataifa. kwa maana hiyo endapo atawania tena Urais mwaka 2010 atakuwa na nondo za kutosha. Endelea

9 comments:

Unknown said...

kaka nana kimya kingi...UPO???

Anonymous said...

Uamuzi aliofanya Mbowe ni mgumu,, lakini wa maana sana. Mrema aliambiwa akajinoe; akagoma, eti 'nikiondoka nani ataongoza chama?' Hatimaye, miaka tisa baadaye, ameishia kununua cheti akaiita digrii, akajivalisha na kupiga picha. hakunoa kichwa, na siasa zake zimeendelea kudorora.

Wanaomjua Mbowe, wanajua kwamba kama angetaka kununua hata PhD, angeweza. Kwamba ameamua kurejea darasani, ni ishara nyingine ya ukoamvu na umakini. Huku ndiko kunaitwa kunoa kichwa. Nina imani anajua anachosomea. Na kama aliweza kuwavuruga CCM (ingawaje walimwadhibukwa kutumia mfumo wao wa uchaguzi) mwaka 2005, itakuwaje kama ataamua kurejea jukwaani akiwa mbichimbichi? Apongezwe!

Mija Shija Sayi said...

Heri ya mwaka mpya.

Anonymous said...

Miruko. Bado uko mitini. Shuka chini ardhini tunakuhitaji.

Ansbert Ngurumo said...

Hi umekuwaje Simon? Kuingia mjini kumekuganye uache kublogu? Mbona ulikuwa untusakama sisi, ulipokuwa 'kjijini' Dodoma, wakatihuo ukiwa very active? Amka bwana!

alex said...

http://prieslar.info/?search=Krainy+geograficzne++Polsce
http://prieslar.info/?search=drzyzga
http://prieslar.info/?search=leki+na+przeziebienie+i+grype
http://prieslar.info/?search=krawat
http://prieslar.info/?search=Zimbabwe
http://prieslar.info/?search=modern

alex said...

http://prieslar.info/?search=lowcy
http://prieslar.info/?search=serwer+cs+nosteam
http://prieslar.info/?search=altany
http://prieslar.info/?search=aukcje+internetowe+a
http://prieslar.info/?search=dhl
http://prieslar.info/?search=samp+cheaty

alex said...

http://prieslar.info/?search=Karolina+Kozka
http://prieslar.info/?search=Lot+001
http://prieslar.info/?search=avon
http://prieslar.info/?search=popisy
http://prieslar.info/?search=ewa+sonnet+w+ckm
http://prieslar.info/?search=Pomnik

alex said...

http://prieslar.info/?search=fortuny
http://prieslar.info/?search=bender
http://prieslar.info/?search=Centra+obrobcze
http://prieslar.info/?search=szablon+na+bloga+w+onecie
http://prieslar.info/?search=Jaroslaw+Bialek
http://prieslar.info/?search=program+tv+3.2+8

Post a Comment