Tuesday, October 04, 2005

CHADEMA wakitumia helkopta wivu wa nini?

Juzi, nilikuweleteeni habari ya Chadema kutumia helkopta katika kampeni zake. Lakini habari hiyo na nyingine zilizoonekana katika vyombo vya habari Tanzania, zimewashtua wapinzani wa chama hicho, hasa Chama Tawala, CCM. Mawaziri wawili wa CCM, John Magufuli na Basil Mramba wameikelejeli helkopta hiyo. Magufuli alisema CCM haitishwi kwa helkopta kwani yenyewe inaweza kununua helkopta hata 10. Mramba alisema yeye alisema ni ulimbukeni kwa kufuata wapiga kura angani na kuwaacha ardhini. Alisema kukodi helkopta ni ubadhirifu wa fedha kwani kwa mwezi mzima Chadema watatumia sh 273 milioni, ambazo zingetosha kununua ndege ndogo ya watu watano, ambayo chama hicho kingebaki nayo hata baada ya uchaguzi. akaongeza kuwa kitendo cha mbowe kuhutubia mikutano tisa kwa siku ni ishara kuwa hakubaliki. Watu mbalimbali wamekuwa na mawazo tofauti juu ya kauli hizo, Mimi mawazo yangu haya hapa. wewe unafikiriaje?

3 comments:

Anonymous said...

The Rise of Individual Credibility
The best business blogs come from the employees, not the bosses. They have more time, and are less prone to marketing gobbledygook and gnomic platitudes.
Find out how to buy and sell anything, like things related to music on interest free credit and pay back whenever you want! Exchange FREE ads on any topic, like music!

Anonymous said...

Super Screen Cleaner
SPAM SLAYER The latest news and information on the burgeoning spam problem. See all Spam Slayer Columns Steve Bass's Tips & Tweaks Fixes for the trickiest high-tech hassles.
: Online Video Poker
Games
: Free Slots
no purchase
: Online casinos
Resource
: Progressive Slots
High Jackpots
: Online Casinos
Top Ranking
: Online Gambling
Directory
: Free Casinos
With no deposit required

Anonymous said...

Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji. Hivyo sishangai kusikia hao vibosile wa CCM wakimpiga vijembe mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA ndugu Mbowe. Kwani inawahusi nini yeye kutumia helkopter? si hata wao wana akili wangeweze kubuni njia rahisi ya kutumia ili waweze kuwafikia wananchi kwa urahisi? nashangaa wao wanawatembelea tu wale wa mjini. Kama mmetusahau sisi wa vijijini, kina Mbowe wametukumbuka. Kwa hiyo ninachoweza kuwashauri hao kina Makufuli na Mramba, waache fitina na roho mbaya. Wakubali matokeo tuu.
Tesa mwanangu Mbowe usiogope wala kuwahofu hao wanaokuonea wivu

Tchao ..... Nemy- A City.

Post a Comment